Uko na Biashara Ndogo Mashinani? Timiza Mipango Yako na Copia

Your trusted partner kwa Biashara na Maisha. Join a network of over 50,000 Copia Agents and grow your monthly income by up to Kshs. 100,000! 

Pata Pesa Mingi Zaidi

 • Commission ya kila Wiki na Mwezi ukiweka na kupokea orders
 • Extra cash ukikusanya chupa za plastic na kuziweka pamoja for recycling

Inua Biz Bila Kuspendi

 • Pata kuonekana zaidi na Customers tukikuwekea kibango juu ya duka lako for FREE
 • Onyesha Customers maelfu ya Bidhaa tunazouza
 • Jitofautishe na duka la jirani kwa kurahisha ununuzi wa bidhaa kupitia mtandao
 • Boresha ujuzi wako wa biashara bila malipo kupitia mafunzo na usaidizi wetu

Timiza Ndoto Zako

 • Lipa rent, school fees na pesa ya Chama bila presha na EXTRA Commission ya kila mwezi
 • Boresha maisha ya wapendwa wako
 • Enjoy maisha bila stress

Kuwa Shujaa wa Jamii

 • Chanua majirani kuhusu Deals Moto moto
 • Letea majirani Bidhaa za Kila Siku bila presha

What do you require to become a Copia Agent

We have made it very easy to sign up as a Copia Agent and grow your business. Ensure that you meet this criteria and sign up today!

 • You have a shop or kiosk that can be accessed by our delivery trucks 
 • You can get 5 or more customers and your business has a good reputation
 • You have enough, clean and uncontaminated space to store products delivered by Copia to be collected by Copia customers even when they have placed the order for themselves
 • Your shop or kiosk remains open during normal business hours, from 8am to 5pm Monday to Saturday
Sign Up Today

Copia Agents are everywhere in the neighborhoods of Copia Customers

They are simply owners of small retail outlets located in Western, Nyanza, Central and Eastern Kenya.

Hear more straight from our Agents

Copia Agent Transformation Stories

Judith Nyagoha – Nakuru County, Naivasha Sub-County , Harvest Farm. Agent Since 2018

Andrew Gichia – Nyandarua County, Kinangop Sub-County , Sulmac Village. Agent Since 2016

Our customers love our Copia Agents too

Sign up below

Take the first step today and register as a Copia Agentwe will be in touch with you soon.